JUA NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA PROMOTION KUPITIA TIKTOK 


Tiktok umekua ni mtandao pendwa sana hivi karibuni na brand nyingi zimeamua kujikita kutafuta wateja kupitia mtandao huu.
Kwa Tanzania takwimu zinaonyesha kila siku kuna watumiaji zaidi ya milioni 1.6 ambao ni active katika mtandao huu.

Wafanyabiashara wengi wameanza kuwekeza nguvu kubwa kwa kuwa na akaunti za biashara katika mtandao huu.
Hata wewe ni muda muafaka wa kuwa na akaunti yako ya biashara katika mtandao huu.


MATANGAZO YA KULIPIA TIKTOK YAPOJE?
Tiktok pia wanayo huduma ya kulipia matangazo ambayo mfanya biashara anaweza kuitumia fursa hii.
Matangazo haya unaweza chagua malengo mbalimbali kama vile:
-Kurusha tangazo kwa ajili ya kutaka followers wengi
-Kurusha tangazo kutafuta wateja ili wanunue bidhaa au huduma yako
-Kurusha tangazo ili watu wengi waangalie video yako
-Kurusha tangazo ili watu watembelee link yako kama ni ya website au whatsap

VIGEZO NI VIPI?
Ili uweze kurusha mtangazo ya promotion ya tiktok ni lazima 
-Akaunti yako iwe ya biashara(professional account)
-Hivyo hiyo hiyo akaunti yako ya kawaida(personal account) inatakiwa uibadilishe ili iwe business account.
-Lakini pia utatakiwa kulipa tangazo lako ili tiktok wakurushie tangazo lako,na utalipia kwa mfumo wa coins ambazo kama huna inabidi ununue kupitia kadi zako za Mastercard au visacard yako kupitia playstore yako.

Ni rahisi sana kuibadilisha akaunti yako ya kaiwaida ili iwe ya biashara pamoja na kuunga njia ya malipo(payment method)

SISI TUTAKUSAIDIEJE?
Sisi Mchumi Consulting tunaweza kukusaidia kama ambavyo tumesaidia wafanyabiasara wengine.
Tutakusaidia yafuatayo:
-Tutakufungulia na kukusetia akaunti ya biashara ya Tiktok
-Tutakuungia njia ya malipo
-Tutakuelekeza namna ya kurusha matangazo ya kulipia(promotion) tiktok
-Tutakupa msaada muda wowote unaohitaji na tutakushauri kulingana na biashara yako.

CHUKUA HATUA SASA.
Usichelewe wasiliana nasi kwa kubonyeza link ya wasap hapo chini ili tukupe utaratibu wetu mwepesi ili uanze safari ya kuvuna wateja kupitia Tiktok

Bonyeza link ya wasap hapo chini
👇👇👇

0714260266
Mchumi Consulting

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KUWA NA KAMPUNI NA NAMNA YA KUGAWA HISA NA KUISAJILI HAPA TANZANIA