Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya mafanikio

MAMBO 5 AMBAYO HUTAKIWI KUWAULIZA WATU

Picha
Katika mazungumzo ya kila siku, ni muhimu kujua mipaka ya maswali na mada tunazozungumzia. Baadhi ya maswali yanaweza kuwa nyeti na kusababisha hisia mbaya kwa wengine. Hapa chini ni maelezo ya kina kuhusu maswali ambayo hutakiwi kuwauliza watu, pamoja na mifano ya jinsi ya kuepuka hali hizo. Mambo Hutakiwi Kuwaambia Watu 1.HUJAOLEWA TU?    -Hili ni swali ambalo linaweza kumfanya mtu ajisikie vibaya, hasa kama ana changamoto katika maisha yake ya ndoa au bado hajapata mwenza.     - Mfano wa Kuepuka : Badala ya kuuliza "Hujaolewa tu?", unaweza kusema, "Natumaini mambo yanaendelea vizuri kwako."    - Sababu : Hii inaonyesha unajali hali ya mtu bila kuingilia maisha yake binafsi. 2.KWANINI HUNA WATOTO? Maswali kuhusu watoto ni nyeti sana.  Watu wengine wanaweza kuwa na changamoto za kiafya au maamuzi binafsi kuhusu kutokuwa na watoto.    - Mfano wa Kuepuka: Badala ya kuuliza "Kwanini huna watoto?", unaweza kusema, "Natumaini familia yako in...
Picha
YAFAHAMU MAMBO 5 (MATANO) ILI KUENDESHA BIASHARA YENYE MAFANIKIO Dunia ya biashara imekua ikibadilika mara kwa mara,hii ikiwa ni pamoja na ujuzi au mikakati mbalimbali ambayo imekua ikitumika kulingana na aina ya biashara husika nayo huwa inabadilika. Haijalishi kama ndio unaanza biashara au ni mzoefu kwenye biashara fulani itakulazimu kuendana tu na mabadiliko mbalimbali ili uweze kufanikiwa kibiashara.  Katika andiko hili tutashirikishana mambo kama matano muhimu ili kusaidia kufanya biashara yenye mafanikio ili uweze kutimiza malengo yako uliyojiwekea. 1. JENGA JINA(BUILD A BRAND) Brand ni zaidi ya nembo ya biashara yako.  Huu ni utambulisho wa biashara yako na kwa namna gani unafikisha utambulisho huo kwa wateja wako. Ukiwa na brand(jina) kubwa ni rahisi kuwa mbele ya washindani wako,na vilevile utavutia watu wengine waje kwako na pia utaongeza thamani yako sokoni.   Hivyo ni muhimu sana ukaweka mikakati ya kujenga brand yako kwa kujitofutisha na washindani wako kwa k...