PROMOTE BIASHARA YAKO SASA KWENYE MTANDAO WA X (TWITTER)





Mtandao wa X(zamani Tweeter) umekua ni mtandao unaotumiwa na watu wengi kwa sasa.
Kuanza kufikiria namna ya kupromote biashara yako kwa kupitia matangazo ya kulipia kwenye mtandao huu ni jambo la muhimu.

Kama ilivyo mitandao mingine kama vile Instagram,Facebook,Tikok na mtandao wa X nao unazo huduma za kupromote matangazo ya biashara yako.

Kwa kuweka utaratibu mzuri wa kibajeti na kuwa na malengo yako ya kibiashara ni rahisi zaidi kuwafikia mamilioni ya watu waliopo kwenye mtandao wa X.

VIGEZO VYAKE NI VIPI?
Ili uweze kufanya matangazo ya kulipia katika mtandao wa X ni lazima uwe na akaunti ya mtandao wa X ambayo umeifanya kuwa ni ya biashara(professional account).
Akaunti ya biashara inapatikana kwa kuibadilisha akaunti yako hiyo ya kawaida na kuipeleka iwe ya biashara kwa process ndogo kwenye App hiyo hiyo.

Kuifanya akaunti kuwa ya biashara(professional account) ni sharti la muhimu kama ilivyo katika mitandao mingine kama Instagram,Faceboook,Tiktok n.k.

Lakini ukiachana na akaunti ya mtandao wa X kuifanya iwe ya biashara lakini ni lazima uunge njia ya malipo(payment method) ambayo itatumika kupitishia malipo kutoka kwenye kadi yako(Visacard au mastercard) kwenda kwenye mtandao wa X ambao ndio watoa huduma ya wewe kupromote kazi yako.
Malipo ya matangazo yanalipwa kwa dola kama ilivyo mitandao mingine.




SISI TUTAKUSAIDIEJE?
Kama utahitaji msaada wa namna ya kufungua akaunti yako katika mtandao wa X na kuelekezwa namna nzuri ya kufanya matangazo yako ya kulipia basi sisi Mchumi Consulting tutakusaidia.

Sisi tunayo KOZI maalumu ambayo tutakupa lakini tutakupa na sapoti ya namna ya kufanya.
Kozi hii ni bei ndogo sana,hata wewe unaweza kumudu.
Anza sasa kufikiria kuipeleka biashara yako katika levo nyingine usiishie kumaliza bando lako kwenye mtandao mmoja tu na hupati matokeo yakutosha.

CHUKUA HATUA SASA
Wasiliana nasi kwa kuja moja kwa moja kwenye wasap yetu ili tukupe utaratibu kuhusu kozi ya mtandao wa X sasa.
Bonyeza link hapo chini imeandikwa wasap ili uchati nasi
👇👇
Au tupigie
0714260266
Mchumi Consulting


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KUWA NA KAMPUNI NA NAMNA YA KUGAWA HISA NA KUISAJILI HAPA TANZANIA