VITABU VYA BIASHARA,UCHUMI, UWEKEZAJI NA MASOKO

 


SOMA mpaka mwisho ili mwisho wa maelezo haya upakue(download ) kitabu kimoja cha BURE

Tazama yaliyomo kwenye vitabu hivi na kama utahitaji basi bonyeza  batani chini ya kitabu husika ili utumiwe kitabu kwa njia ya WhatsApp

Lakini mwishoni utaweza ku-download kitabu cha Bure moja kwa moja

KUMBUKA
Vitabu hivi vipo katika mfumo wa softcopy(pdf) hivyo unatumiwa kwenye simu yako kupitia wasap au email yako.
Kwa sasa hatuna Hardcopy ya vitabu hivi ndio maana tunakupatia kwa bei ndogo.


1.KITABU CHA KUZA UCHUMI WAKO SASA
(BEI TSH 3000)
Hiki ndicho kitabu kitakachokupa siri ya kukua kiuchumi,kibishara na mbinu za uwekezaji.
 
Bei ya kitabu hiki ni Elfu Tatu(3000)
 
YALIYOMO NDANI YA KITABU HIKI
👇👇👇
✍️Yajue mambo 15 ili uanze safari ya kukuza uchumi wako binafsi.

✍️Namna 10 ya kupata wazo bora la biashara.

✍️Njia 11 za kutafuta mtaji wa biashara. 

✍️Mbinu 10 za kukuza biashara yako.

✍️Aina 19 za biashara za kuanzisha kwa mtaji mdogo.

✍️Mambo 11 ya kufanya ili kuendesha biashara yenye mafanikio.

✍️Njia 15 za kutangaza biashara yako.

✍️Fahamu aina 5 za uwekezaji.

✍️Mambo 7 ya kuzingatia kabla ya kuwekeza.

✍️Makosa 22 wanayofanya wafanyabiashara wengi na namna ya kuyaepuka.

✍️Hatua 21 za kufanya pindi biashara yako ikiwa inaelekea kufa.

✍️Fahamu mifumo mitatu ya aina za biashara.

✍️ Changamoto 12 ambazo huwakumba wafanyabiashara wengi na namna ya kuzitatua.






2.KITABU CHA USIMAMIZI WA FEDHA NA UWEKEZAJI


NDANI YA KITABU HIKI UTAFAHAMU YAFUATAYO

👇👇👇👇

-Elimu na usimamizi wa fedha binafsi

-Uandaaji wa bajeti binafsi na akiba(savings)

-Namna ya kudhibiti matumizi ya fedha zako

-Madeni na namna ya kujiondoa na kuyaepuka

-Elimu ya uwekezaji

-Uwekezaji katika mali za kupangisha/kukodisha

-Uwekezaji kwenye mapato ya riba(kukopesha fedha)

-Uwekezaji kwenye hatifungani(bonds)

-Uwekezaji kwenye Hisa

-Uwekezaji kwenye akaunti za benki za muda maalumu

-Uwekezaji UTT-AMIS

-Mifuko iliyopo UTT

BEI YA KITABU HIKI NI ELFU MOJA(TSH 1000)
👇👇👇







3.KITABU CHA NAMNA YA KUFANYA MTANDAONI BIASHARA YENYE MAFANIKIO
 (TSH 3,000) 




Yaliyomo ndani ya kitabu cha MUONGOZO WA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI 
👇👇
✅Maana ya biashara mtandaoni 

✅Faida za biashara mtandaoni 

✅Changamoto za biashara mtandaoni Tanzania

✅Hatua za kuanzisha biashara mtandaoni Tanzania 

✅Tabia na Hali ya kipato za wateja wa mitandaoni(Facebook, Instagram, Tiktok,X)Tanzania 

✅Jinsi ya kutumia WhatsApp kuuza bidhaa au huduma zako
✅Namna ya kufanya WhatsApp yako ikifungwa(banned)

✅Jinsi ya kutumia Facebook kuuza bidhaa au huduma zako
✅Namna ya kufanya endapo Facebook yako itazuiwa kufanya matangazo 

✅Jinsi ya kutumia Instagram kuuza bidhaa au huduma zako
✅Namna ya kufanya ikiwa Instagram yako imezuiwa kurusha matangazo

✅Jinsi ya kutumia Tiktok kuuza bidhaa au huduma zako
✅Namna ya kufanya Tiktok yako ikifungwa

✅Jinsi ya kutumia X kuuza bidhaa au huduma zako

✅Mikakati ya kufanya ili kupata followers wengi mtandaoni 

✅Namna ya kuongeza uaminifu kwa wateja mtandaoni 

✅Mambo yanayoweza kufanya ukazuiwa kufanya biashara mtandaoni 

✅Mambo ya kufanya ili kuwa maarufu na kupata wateja wengi mtandaoni 

✅Utapeli mtandaoni na namna ya kumgundua mtu tapeli mtandaoni 

✅Makosa wanayofanya wafanyabiashara wengi wanaouza bidhaa au huduma mtandaoni nchini Tanzania na namna ya kuyaepuka.






4.KITABU CHA SIRI NA MIKAKATI YA KUPATA MAUZO MENGI

       (TSH 1000)

Kitabu pendwa na kilichonunulika na kusaidia wafanyabiashara wengi sana Tanzania bara na visiwani.


NDANI YA KITABU HIKI UTAFAHAMU YAFUATAYO

👇👇👇👇

-Fahamu siri za kuuza kitu chochote kwa mtu yoyote

-Namna ya kuuza bidhaa au huduma yako bila kuweka bei ndogo

-Makosa 8 wakati wa kuuza bidhaa au huduma yako na namna ya kuyaepuka

-Fahamu mikakati ya kufanya ili kuongeza mauzo ya bidhaa au huduma yako.

-Mikakati ya namna ya kuuza bidhaa yako kwenye mitandao ya kijamii.

BEI YA KITABU HIKI NI ELFU MOJA(TSH 1000)
👇👇👇








5.KITABU CHA MIKOPO YA BIASHARA


NDANI YA KITABU HIKI UTAFAHAMU YAFUATAYO
👇👇👇👇👇
-Nini maana ya mkopo wa biashara

-Mambo ya kuzingatia kabla hujachukua mkopo kwa ajili ya biashara yako.

-Faida ya kuchukua mkopo wa biashara

-Vigezo ambavyo taasisi za fedha hutumia ili kukupa mkopo wa biashara yako.

-Sababu zinazoweza kufanya mkopo wa biashara usilipike.

-Kipi cha kufanya pale unaposhindwa kulipa mkopo

-Ushauri zaidi kuhusu mikopo

BEI YA KITABU HIKI NI ELFU MOJA(TSH 1000)
👇👇👇






6.KITABU CHA AINA 10 ZA WATEJA



Hiki ni kitabu kizuri sana ambacho kinafanana kidogo na kitabu chetu cha siri na mikakati ya kufanya mauzo mengi. Lakini kitabu hiki kimejikita katika kutambua aina mbalimbali za wateja na tabia zao.


Kama inavyofahamika kuwa unapofanya biashara utakutana na watu mbalimbali wenye tabia tofauti tofauti ambao utapaswa ufanye nao biashara. Kitabu hiki kimekurahisishia kwani kimedadafua aina 10 za wateja na namna ya kufanya nao biashara ili uweze kumuuzia kila mmoja kati yao.


Kitabu hiki ni nyenzo muhimu sana kwako mfanyabiashara ili uendelee kukuza biashara yako kwa kuongeza mauzo zaidi kwani utafahamu mbinu za kufanya au kuepuka ili uweze kumuhudumia kila mteja unaekutana nae

BEI YA KITABU HIKI NI ELFU MOJA(TSH 1000)
👇👇👇




7.KITABU CHA MAMBO 10 YA KUFANYA ILI KUDHIBITI WAFANYAKAZI WAKO WASIKUIBIE KWENYE BIASHARA YAKO 

              (BURE)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KUWA NA KAMPUNI NA NAMNA YA KUGAWA HISA NA KUISAJILI HAPA TANZANIA